Usiwe mwepesi wa Kulaumu.

Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka na kuvaa nguo za kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji.Wakati akielekea kwenye chumba cha upasuaji alimkuta Baba wa mtoto anazunguka huku na huku karibu na chumba hicho akimsubiria Daktari. Baada ya kumuona tu, Baba mtoto akapayuka: “